Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Msumbiji

Rua da Micaia No. 160

Bairro Triunfo

Costa do Sol

MAPUTO

MSUMBIJI

+258 21-450-500

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi na saa 7:00 alasiri hadi saa 9:30 alasiri

Muda wa matembezi ni saa 1

Mambo yenye kupendeza

Ofisi ya tawi ya Msumbiji husimamia kazi ya kutoa elimu ya Biblia ya Mashahidi wa Yehova 56,192. Machapisho ya Biblia hutafsiriwa katika lugha 20 hivi na husafirishwa katika makutaniko 1,175 yaliyopo nchini humo. Matembezi yanatia ndani historia fupi ya Mashahidi wa Yehova nchini Msumbiji.

Pakua broshua ya matembezi.