Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Mexico

Ave Jardin No. 10

Fraccionamiento El Tejocote

56265 TEXCOCO, MEX

MEXICO

+52 555-133-3000

+52 555-133-3099

+52 555-858-0100

+52 555-858-0199

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi na saa 7:00 alasiri hadi saa 10:00 jioni

Muda wa matembezi ni saa 2 na dakika 30

Mambo yenye kupendeza

Husimamia kutafsiriwa kwa machapisho ya Biblia katika lugha 49 katika eneo lote kuanzia Mexico hadi Panama. Huchapisha katika zaidi ya lugha 60 na kusafirisha machapisho katika zaidi ya lugha 80 kwa ajili ya nchi zaidi ya 10.

Pakua broshua ya matembezi.