Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Madagaska

Vavolombelon’i Jehovah

Lot 1207 MC

Mandrosoa

105 IVATO

MADAGASKA

+261 2022-44837

+261 3302-44837 (Simu ya mkono)

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 1:30 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi na saa 7:00 alasiri hadi saa 10:00 jioni

Muda wa matembezi ni saa 1

Mambo yenye kupendeza

Hutafsiri machapisho ya Biblia katika Kimalagasi, Tankarana, Tandroy, na Vezo. Hurekodi sauti na video katika Kimalagasi. Husimamia utendaji wa makutaniko 600 hivi. Husafirisha zaidi ya vitabu na broshua 270,000 na zaidi ya magazeti 600,000 kila mwezi.

Pakua broshua ya matembezi.