Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Korea

Sindumangok-ro 73, Gongdo-eup

Anseong-si, Gyeonggi-do

JAMHURI YA KOREA

+82 31-690-0033

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi na saa 7:00 alasiri hadi saa 10:00 jioni

Muda wa matembezi ni saa 2

Mambo yenye kupendeza

Huchapisha magazeti milioni 18 katika lugha 6 kila mwaka na kusafirisha tani 850 za machapisho na magazeti kila mwaka. Hutafsiri katika Kikorea na Lugha ya Ishara ya Korea. Hutokeza video katika Lugha ya Ishara ya Korea.

Pakua broshua ya matembezi.