Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Kongo (Kinshasa)

75, 13e Rue, Q. Industriel

LIMETE

KINSHASA

DEMOCRATIC REPUBLIC OF THE CONGO

+243 81-555-1000

+243 99-818-9791

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 3:00 asubuhi hadi saa 4:30 asubuhi na saa 7:30 alasiri hadi saa 9:00 jioni.

Muda wa matembezi ni saa 1

Mambo yenye kupendeza

Hutafsiri gazeti la Mnara wa Mlinzi katika lugha 8 na hutafsiri machapisho mengine katika lugha 30. Husafirisha tani 1,800 za machapisho kila mwaka kwa makutaniko 3,763 katika nchi nzima ya Kongo (Kinshasa).

Pakua broshua ya matembezi.