Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Kenya

Elgeyo Marakwet Rd

Kilimani area near Adams Arcade

NAIROBI

KENYA

+254 20-5141500

Pata Maelekezo

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi na saa 7:00 alasiri hadi saa 10:00 jioni

Muda wa matembezi ni saa 1 na dakika 30

Mambo yenye kupendeza

Husimamia kazi ya kutafsiri machapisho ya Biblia katika lugha kumi tofauti, kutia ndani Lugha ya Ishara ya Kenya. Hurekodi sauti na video katika lugha za kienyeji. Hutegemeza utendaji wa Mashahidi wa Yehova katika nchi kadhaa jirani.

Pakua broshua ya matembezi