Hamia kwenye habari

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu za tawi, tunazoziita Betheli. Baadhi ya ofisi zetu zina maonyesho utakayotembelea ukiwa peke yako.

Tangazo Kuhusu Ugonjwa wa Virusi vya Corona (COVID-19): Katika nchi nyingi, tumesitisha mpango wa kutembelea ofisi zetu za tawi. Ili kupata maelezo zaidi, tafadhali wasiliana na ofisi ya tawi unayotaka kutembelea .

Kazakhstan

Habari Kuhusu Matembezi

Je, unapaswa kutuma maombi kabla ya kutembelea? Ndiyo. Ili kuepuka msongamano wa watu na kuhakikisha kwamba wote wanafurahia matembezi yao, tunawaomba wageni wote watume maombi yao mapema kabla ya kuja, haidhuru idadi iliyopo katika kikundi. Tuma maombi angalau juma moja kabla ya kutembelea. Ukitaka kutembelea wakati wa sikukuu tunakutia moyo utume maombi mapema zaidi.

Je, unaweza kutembelea hata kama hujatuma maombi? Ikiwa hujatuma maombi ya kutembelea, itakuwa vigumu kukuhudumia. Kwa sababu eneo letu ni dogo, ni watu wachache tu wanaoweza kutembelea kila siku.

Unapaswa kufika wakati gani kwa ajili ya matembezi yako? Ili kupunguza msongamano, tafadhali unaweza kufika saa moja kabla ya muda uliopangiwa kuanza matembezi, lakini usifike kabla ya hapo.

Unatumaje maombi ya kutembelea? Bofya kitufe cha “Toa Ombi la Matembezi.”

Je, unaweza kubadili au kubatilisha maombi ya kutembelea? Ndiyo. Bofya kitufe ”Angalia au Ubadili Maombi.”

Vipi ikiwa siku za matembezi zinazopatikana hazipatani na ratiba yangu? Tembelea sehemu hii mara kwa mara. Siku za matembezi zinaweza kupatikana ikiwa maombi mengine yanabadilishwa au kubatilishwa.

Pakua broshua ya matembezi

Anwani na Namba ya Simu

187 Bayken Ashimov St.

mkr. Kalkaman-2, Nauryzbaysky District

ALMATY, 050006

KAZAKHSTAN

+7 727-339-03-01

+7 727-226-30-42

+7 777-223-19-89 (Simu)