Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Jamhuri ya Afrika ya Kati

58 rue du Stade Boganda

BANGUI

JAMHURI YA AFRIKA YA KATI

+236 21-61-20-70

+236 21-61-89-25

+236 70-11-08-00

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi

Muda wa matembezi ni saa 1

Mambo yenye kupendeza

Husimamia kazi kufundisha Biblia ya Mashahidi wa Yehova kutia ndani ujenzi wa Majumba ya Ufalme katika Jamhuri ya Afrika ya Kati na Chad. Hutafsiri machapisho ya Biblia katika Kisango na lugha saba nyingine.

Pakua broshua ya matembezi.