Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Italy

Congregazione Cristiana Dei Testimoni di Geova

Via della Bufalotta 1281

I-00138 ROME RM

ITALIA

+39 06-872941

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 4:30 asubuhi na saa 7:00 alasiri hadi saa 3:30 alasiri

Muda wa ni matembezi saa 1

Mambo yenye kupendeza

Hutafsiri machapisho ya Biblia katika Kiitaliano na Lugha ya Ishara ya Italia. Hurekodi sauti na video. Husimamia makutaniko na vikundi zaidi ya 3,000 nchini Italia na katika nchi nyingine.

Pakua broshua ya matembezi.