Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

India

927/1 Addevishwanathapura

Rajanukunte

BANGALORE-KAR 560 064

INDIA

+91 98-4547-6425

+91 98-4534-8815

+91 96-8611-4293

+91 80-2846-8072

+91 80-2846-8073

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi na saa 7:00 alasiri hadi saa 9:00 alasiri

Muda wa matembezi ni saa 1 na dakika 30

Mambo yenye kupendeza

Hutafsiri machapisho ya Biblia katika lugha 18 za India. Huchapisha katika lugha 24 za India. Husafirisha machapisho nchini India na katika nchi tisa nyingine.

Pakua broshua ya matembezi.