Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Hong Kong

Watch Tower Bible and Tract Society

19/F, 1 Hung To Road,

Kwun Tong,

KOWLOON, HONG KONG

+852 2337-1686

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:15 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi na saa 7:00 alasiri hadi saa 10:00 jioni

Muda wa matembezi ni dakika 45

Mambo yenye kupendeza

Husimamia kazi ya elimu ya Biblia ya Mashahidi wa Yehova nchini Hong Kong na Macao. Hutengeneza rekodi za video katika Lugha ya Ishara ya Hong Kong.

Pakua broshua ya matembezi.