Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Ethiopia

Jehovah’s Witnesses, Yeka sub-city, Wereda 12;

House 161 on Kotebe Road; 1 km past Kotebe University College

ADDIS ABABA

ETHIOPIA

+251 11-617-0555

+251 91-121-3489 (cell)

Pata Maelekezo

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi na saa 7:20 mchana hadi saa 10:00 jioni.

Muda saa 1

Mambo yenye kupendeza

Kutafsiri machapisho ya Biblia katika lugha tano za Ethiopia. Kusimamia kazi ya elimu ya Biblia nchini Ethiopia na nchi nyingine jirani. Kusimamia kazi ya ujenzi wa Majumba ya Ufalme.

Pakua broshua ya matembezi