Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Côte d’Ivoire

Rue J-58 - Lot 1758

Deux-Plateaux

3ème tranche, Vallon

ABIDJAN

CÔTE D’IVOIRE

+225 2241-3606

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 8:00 alasiri hadi saa 10:00 jioni

Muda wa matembezi ni saa 1

Mambo yenye kupendeza

Hutafsiri machapisho ya Biblia katika lugha ya Kiabbey, Kianyin (Indenie), Kiattié, Kibaoulé, Kibeté, Kidida (Lakota), Kigouro, Kiguéré, Ivorian Sign Language, Kisenoufo (Cebaara), na Kiyacouba. Hurekodi usomaji wa broshua na drama katika lugha kadhaa.

Pakua broshua ya matembezi.