Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Brazili

Rodovia SP-141 - km 43

CESÁRIO LANGE-SP

18285-901

BRAZILI

+55 15-3322-9000

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 3:45 asubuhi na saa 7:00 alasiri hadi saa 8:45 alasiri

Muda wa matembezi ni saa 2 hivi

Mambo muhimu

Huchapisha Biblia, vitabu na broshua milioni 36. Kila mwaka husafirisha machapisho yenye uzito wa tani 7,000 hivi kwa wastani katika zaidi ya lugha 90.

Pakua broshua ya matembezi.