Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Australia

12-14 Zouch Road

DENHAM COURT NSW 2565

AUSTRALIA

+61 2-9829-5600

Pata Maelekezo

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:​30 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi na 7:00 mchana hadi saa 10:00 jioni.

Muda saa 1.

Tafadhali toa taarifa mapema ili kuandikisha matembezi.

Mambo yenye kupendeza

Inasimamia kazi ya elimu ya Biblia ya Mashahidi wa Yehova katika nchi ya Samoa ya Marekani, Australia, Visiwa vya Cook Islands, New Zealand, Niue, Kisiwa cha Norfolk, Samoa, Timor-Leste, na Tonga. Kutafsiri machapisho ya Biblia katika lugha 24.

Maonyesho ya Kihistoria Yasiyohitaji Mtu wa Kuwaongoza

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni.

Muda saa 1 hivi

Nakala za maendeleo ya kazi ya kuhubiri katika eneo la Australasia.

Pakua broshua ya matembezi