Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Argentina

Av. Elcano 3820 PB Chacarita

C1427BVV CDAD. AUT. DE BUENOS AIRES

ARGENTINA

+54 11-3220-5900

GPS Coordinates: -34.581015, -58.460560

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:30 asubuhi hadi saa 4:30 asubuhi na saa 7:30 alasiri hadi saa 9:30 alasiri

Muda wa matembezi ni saa 1 na dakika 30

Mambo muhimu

Husimamia utendaji wa Mashahidi wa Yehova nchini Argentina na Uruguai. Hutafsiri machapisho yanayotegema Biblia katika Kiromani (Argentina), Lugha ya Ishara ya Argentina, Lugha ya Ishara ya Uruguai, na lugha nne za kienyeji: Pilagá, Quichua (Santiago del Estero), Toba, na Wichi.

Pakua broshua ya matembezi.