Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Angola

Rua de Talatona N°1 (Próximo da Angola Telecom)

LUANDA SUL

ANGOLA

+244 222-460-192

+244 222-460-211

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi na saa 7:00 alasiri hadi saa 10:00 jioni

Muda wa matembezi ni dakika 45

Mambo muhimu

Hutafsiri machapisho ya Biblia katika Kichokwe, Kikongo, Kimbundu, Kingangela, Kinyaneka na Kiumbundu. Husafirisha magazeti milioni moja hivi kila mwaka kwa zaidi ya makutaniko 1,000.

Pakua broshua ya matembezi.