Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Albania

Autostrada Tiranë – Durrës, Km 1

Mëzez

TIRANË

ALBANIA

+355 42-407-255

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi na saa 7:00 alasiri hadi saa 10:00 jioni

Muda wa matembezi ni saa 1

Mambo muhimu

Hutafsiri machapisho ya Biblia katika Kialbania na Lugha ya Ishara ya Albania. husafirisha machapisho katika lugha mbalimbali kwa ajili ya makutaniko nchini Albania na Kosovo.

Pakua broshua ya matembezi.