Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

Ofisi na Habari Kuhusu Matembezi

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu na vituo vya uchapishaji. Pata kujua mahali na wakati wa kutembelea.

 

Afrika Kusini

1 Robert Broom Drive East

Rangeview

KRUGERSDORP

1739

AFRIKA KUSINI

+27 11-761-1000

Matembezi

Jumatatu hadi Ijumaa

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 5:00 asubuhi na saa 7:00 alasiri hadi saa 10:00 jioni

Muda wa matembezi ni saa 2

Mambo yenye kupendeza

Huchapisha vitabu, magazeti, broshua, na trakti katika lugha 121 na kusafirisha machapisho kwa ajili ya makutaniko zaidi ya 12,000 katika nchi 11. Hutafsiri machapisho ya Biblia katika lugha 20 tofauti. Hutegemeza ujenzi wa Majumba ya Ufalme katika nchi 42.

Pakua broshua ya matembezi.