MATEMBEZI YA BETHELI

Australia

Kiswahili
Australia
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1011232/univ/art/1011232_univ_sqr_xl.jpg

Matembezi ya Betheli

Tunakualika kwa uchangamfu utembelee ofisi zetu za tawi, tunazoziita Betheli. Baadhi ya ofisi zetu zina maonyesho utakayotembelea ukiwa peke yako.

Australia

Habari Kuhusu Matembezi

 
 
 
 
 
 

Toa Ombi la Matembezi

Angalia au Ubadili Maombi

Pakua Broshua ya Matembezi

Mambo yenye kupendeza

Maonyesho ya Kihistoria. Kuna hati mbalimbali kuhusu jinsi kazi ya kuhubiri ilivyokua katika Australasia.

Eneo la Kutayarishia Video. Kama sehemu ya matembezi, wageni watajifunza kuhusu kutayarishwa kwa mfululizo wa video Habari Njema Kulingana na Yesu. Wageni wataweza kuona eneo hilo kubwa kutokea mbali kwa njia ambayo haitavuruga kazi inayoendelea.

Anwani na Namba ya Simu

 

Pata Maelekezo