Kiswahili
Sehemu ya 3 Mfuatano wa Matukio​​—⁠Siku za Masihi na Wafuasi Wake
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102025966/univ/art/1102025966_univ_sqr_xl.jpg
wcg kur. 186-187

Sehemu ya 3 Mfuatano wa Matukio

Sehemu ya 3 Mfuatano wa Matukio

Siku za Masihi na Wafuasi Wake

MTU

TAREHE

Zekaria

70*–b. 2 K.W.K.

Elisabeti

70*–b. 2 K.W.K.

Maria (mama ya Yesu)

20* K.W.K.–b. 33 W.K.

Yosefu

25* K.W.K.–b. 11 W.K.

Yohana Mbatizaji

2 K.W.K.–32* W.K.

Yesu

2 K.W.K.–33 W.K.

Petro

5* K.W.K.–b. 64 W.K.

Maria Magdalene

5* K.W.K.–b. 33 W.K.

Maria (Dada ya Lazaro)

15* K.W.K.–b. 33 W.K.

Stefano

5* K.W.K.–33/34* W.K.

Paulo (Sauli wa Tarso)

3*-65* W.K.

Barnaba

5* K.W.K.–b. 55 W.K.

Marko

15*–b. 65* W.K.

Mtume Yohana

5* K.W.K.–100* W.K.

Alama “b.” inarejelea “baada ya.”

*Tarehe inayokadiriwa.

Matukio Muhimu

332 a K.W.K.

SERIKALI KUU YA ULIMWENGU: Ugiriki

63-30 b K.W.K.

SERIKALI KUU YA ULIMWENGU: Roma

33 W.K.

Roho takatifu inamiminwa wakati wa Pentekoste

36 W.K.

Mtu wa kwanza asiyetahiriwa wa mataifa anabatizwa

41 c W.K.

Mathayo anaandika Injili ya kwanza

70 W.K.

Yerusalemu na hekalu lake zinaharibiwa

98 d W.K.

Uandikaji wa Biblia unakamilika

a b c d Tarehe inayokadiriwa.