‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’

Sala ya Mtumishi wa Mungu (Wimbo

Na. 42)

Kiswahili
Sala ya Mtumishi wa Mungu (WimboNa. 42)
/assets/ct/08c9985de2/images/syn_placeholder_sqr.png
sjj wimbo na. 42

WIMBO NA. 42

Sala ya Mtumishi wa Mungu

Sala ya Mtumishi wa Mungu

(Waefeso 6:18)

  1. 1. Baba Yetu, Mwenye Enzi Kuu,

    Jina lako litakaswe milele;

    Mapenzi yako yatimizwe.

    Tunakuomba, Ufalme uje.

    Utakapoagiza,

    Baraka tuzione.

  2. 2. Twashukuru kwa baraka zako,

    Unatupa zawadi nyingi njema.

    Chanzo cha uhai na nuru,

    Watupa hekima, ufahamu.

    Twashukuru daima,

    Twakusifu Yehova.

  3. 3. Ulimwengu una dhiki nyingi.

    Tufariji tunakutegemea.

    Tunakutupia mizigo.

    Tupe nguvu za kusonga mbele.

    Tufanye upendayo,

    Tutimize nadhiri.