Kiswahili
Ufalme Umesimamishwa​—⁠Na Uje! (Wimbo Na. 22)
/assets/ct/28ada02fb0/images/syn_placeholder_sqr.png
sjj wimbo na. 22

WIMBO NA. 22

Ufalme Umesimamishwa​—⁠Na Uje!

Ufalme Umesimamishwa​—⁠Na Uje!

(Ufunuo 11:15; 12:10)

  1. 1. Yehova Mungu Mkuu

    Mungu wa Milele

    Umemtawaza Kristo

    Awe mtawala.

    Ufalme umezaliwa;

    Utatawala dunia.

    (KORASI)

    Sasa kumekuwa

    Wokovu, nguvu, Ufalme.

    Umesimamishwa.

    Twasali: ‘Ufalme Uje’

  2. 2. Karibuni Ibilisi

    Ataondolewa.

    Ingawa ole zazidi,

    Hatuko gizani.

    Ufalme umezaliwa;

    Utatawala dunia.

    (KORASI)

    Sasa kumekuwa

    Wokovu, nguvu, Ufalme.

    Umesimamishwa.

    Twasali: ‘Ufalme Uje’

  3. 3. Malaika wa mbinguni

    Wanashangilia.

    Shetani katupwa chini;

    Mbingu zafurahi,

    Ufalme umezaliwa;

    Utatawala dunia.

    (KORASI)

    Sasa kumekuwa

    Wokovu, nguvu, Ufalme.

    Umesimamishwa.

    Twasali: ‘Ufalme Uje’