Yehova, Mama, na Mimi
Pakua:
1. Nina mama mpendwa,
Yeye hunitunza.
Tunasali pamoja,
Tunafurahi.
Tukiwa watatu
Yehova mama nami.
Tunaweza fanya chochote.
Yehova mama nami.
2. Kabla ya siku kwisha,
Twasoma hadithi.
Ninayoipenda,
Ni Timotheo.
Na alifundishwa
Ukweli na mama yake.
Nimepata vyote muhimu.
Yehova mama nami.
(Umalizio)
Nashukuru baraka hizi
Nitasikiliza tu!
Kila siku nitaipenda sana hii familia—
Yehova mama nami.

