Uwe Rafiki ya Yehova (nyimbo zilizotungwa)

Utapata Rafiki—Ukiwa Rafiki

Kiswahili
Utapata Rafiki—Ukiwa Rafiki
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/501800163/univ/art/501800163_univ_sqr_xl.jpg
pkon

Utapata Rafiki—Ukiwa Rafiki

Utapata Rafiki—Ukiwa Rafiki

Pakua:

  1. 1. Najua huna Rafiki,

    Mpweke kati ya wengi.

    Hata hivyo wahitaji kujua,

    Wapo kila mahali.

    (KORASI)

    Kuwapata rafiki,

    Onyesha fadhili.

    Wajali wengine,

    Watendee mema.

    Baada ya muda,

    Utapata rafiki.

  2. 2. Rafiki zake Yehova,

    Hupenda nyakati zote.

    Ukiwa na haya mwombe Yehova,

    Atakusaidia.

    (KORASI)

    Kuwapata rafiki,

    Onyesha fadhili.

    Wajali wengine,

    Watendee mema.

    Baada ya muda,

    Utapata rafiki.