Uwe Rafiki ya Yehova (nyimbo zilizotungwa)

Nasubiri Kusanyiko kwa Hamu!

Kiswahili
Nasubiri Kusanyiko kwa Hamu!
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/501800136/univ/art/501800136_univ_sqr_xl.jpg
pkon

Nasubiri Kusanyiko kwa Hamu!

Nasubiri Kusanyiko kwa Hamu!

Pakua:

  1. 1. Umefika mwaka mpya.

    Uwe tayari kwa kusanyiko.

    Begi langu, na upendo

    Niwe tayari kabla ya muziki.

    Ni kusanyiko!

    (KORASI)

    Pamoja tukusanyike,

    Mahali pa furaha

    Pamoja tukusanyike

    Tukiwa familia.

  2. 2. Urafiki unaanza

    Unapokaa na watu wengine

    Tuandike na kuimba.

    Tuna tumaini moja hakika!

    Ni kusanyiko!

    (KORASI)

    Pamoja tukusanyike,

    Mahali pa furaha

    Pamoja tukusanyike

    Tukiwa familia.

    Pamoja tukusanyike,

    Mahali pa furaha

    Sote tunaweza kuimarisha

    Undugu wetu wote.