Uwe Rafiki ya Yehova (nyimbo zilizotungwa)

Napenda Kufanya Usafi!

Kiswahili
Napenda Kufanya Usafi!
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/501800145/univ/art/501800145_univ_sqr_xl.jpg
pkon

Napenda Kufanya Usafi!

Napenda Kufanya Usafi!

Pakua:

  1. 1. Yehova ni msafi.

    Dunia ni safi.

    Nitamfurahisha nikiwa mtu safi.

    Yehova ni msafi.

    Napenda usafi!

  2. 2. Yehova ni msafi.

    Tumuige Yeye.

    Nitasafisha nyumba, nitasafisha vyombo.

    Yehova ni msafi.

    Napenda usafi!

  3. 3. Yehova ni msafi.

    Sisi tuwe safi.

    Tutapata furaha, tukiwa watu safi!

    Yehova ni msafi.

    Napenda usafi!