Uwe Rafiki ya Yehova (nyimbo zilizotungwa)

Daudi—Mfano kwa Vijana

Kiswahili
Daudi—Mfano kwa Vijana
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/501800103/univ/art/501800103_univ_sqr_xl.jpg
pkon

Daudi—Mfano kwa Vijana

Daudi—Mfano kwa Vijana

Pakua:

  1. 1. Utotoni ye’ Daudi

    Aliimba na kusali

    Alimpenda Yehova

    Akampa Ufalme,

    Kakabili dubu na hata simba

    Hakusita kamwe

    (KORASI)

    Yeye yeye mwenye imani.

    Yehova Mungu alimpenda.

    Nasali daima kama Daudi

    N’takumbuka Yehova kila siku.

  2. 2. Na alipokuwa mkubwa

    Alipata ujasiri

    Wa kushinda maadui

    wa Yehova rafikiye

    Jitu kubwa aliliangusha

    Alitegemea Mungu.

    (KORASI)

    Yeye yeye mwenye imani.

    Yehova Mungu alimpenda

    Nasali daima kama Daudi

    N’takumbuka Yehova kila siku.

    Nasali daima kama Daudi

    N’takumbuka Yehova kila siku.