MNARA WA MLINZI Na. 5 2016 | Unaweza Kupata Wapi Faraja?

Wote tunahitaji faraja ambayo Mungu anatoa, hasa wakati wa matatizo. Gazeti hili linaeleza jinsi ambavyo Mungu huandaa faraja tunapokabili matatizo na changamoto.

HABARI KUU

Tunahitaji Faraja

Unaweza kupata wapi faraja unapofiwa au unapokabili ugonjwa, kuvunjika kwa ndoa au kukosa ajira?

HABARI KUU

Jinsi Mungu Anavyotufariji

Njia nne za kupata faraja.

HABARI KUU

Faraja Wakati wa Matatizo

Watu wamepataje msaada waliouhitaji sana.

IGENI IMANI YAO

“Vita Ni vya Yehova”

Ni nini kilichomwezesha Daudi kumshinda Goliathi? Tunaweza kujifunza nini kutoka na simulizi la Daudi?

Daudi na Goliathi​—Je, Pigano Lao Lilikuwa Halisi?

Baadhi ya watu hutulia shaka ikiwa simulizi hilo ni la kweli. Je, wana msingi wowote wa kuwa na shaka?

BIBLIA HUBADILI MAISHA

Nilikuwa Mjeuri na Mwenye Uchungu Moyoni

Ni nini kilichofanya mpiganaji wa mtaani huko Mexico abadili utu wake?

Biblia Inasema ni Nini?

Huenda ukashangazwa na jibu la swali hilo.

Habari Zaidi Mtandaoni

Kwa Nini Nisali? Je, Mungu Atanijibu?

Ili Mungu ajibu sala zako inategemea kwa kiasi kikubwa wewe.