AMKENI!

Yaliyomo

Kiswahili
Yaliyomo
/assets/ct/79e1b14fff/images/syn_placeholder_sqr.png
Yaliyomo

Yaliyomo

Agosti 8, 2001

Kukomesha Chuki

Chuki yaendelea kusababisha mizozo na mapambano yenye jeuri. Chanzo cha chuki ni nini? Je, twaweza kuishinda?

3 Chuki Imeenea Ulimwenguni Pote

4 Vyanzo vya Chuki

8 Kukomesha Chuki

12 Je, Wajua?

13 Familia za Korea Zilizoungana Je, Huo Ni Mwanzo Mpya?

22 Pambano Langu na Ugonjwa wa Mfumo wa Kinga

26 Kitabu cha Kumbukumbu Rafiki Anayetumainika

28 Kuutazama Ulimwengu

30 Kutoka kwa Wasomaji Wetu

31 Uwongo na Ukweli Kuhusu Wazee

32 Si kwa Vijana Tu

Kongoti—Ndege Anayeeleweka Vibaya 16

Kongoti amefafanuliwa kuwa mkatili na mwenye sura mbaya. Hata hivyo, ndege huyo ana sifa nzuri kadhaa.

Ni Nani Aliye Mpinga-Kristo? 20

Kwa karne nyingi, kumekuwa na ubishi kuhusu utambulisho wa mpinga-Kristo. Uthibitisho waonyesha nini?

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]

AP Photo/John Gillis