AMKENI!

Yaliyomo

Kiswahili
Yaliyomo
/assets/ct/28ada02fb0/images/syn_placeholder_sqr.png
Yaliyomo

Yaliyomo

Juni 8, 2001

Je, Watu Wote Wanaweza Kuwa na Afya Bora?

Shirika la Afya Ulimwenguni liliweka mradi wa pekee wa kufikia “kiwango kinachokubalika cha afya kwa watu wote ulimwenguni.” Je, sayansi ya tiba inaweza kutimiza mradi huo?

3 Afya Bora kwa Wote Je, Ni Mradi Unaoweza Kutimizwa?

4 Je, Matibabu ya Kisasa Yanaweza Kufaulu?

9 Afya Bora—Hivi Karibuni

11 Je, Wajua?

12 Je, Makanisa Makuu Yamejengwa kwa Sifa ya Mungu au ya Wanadamu?

20 Kutokeza Taswira kwa Kutumia Maneno

23 Maji Yanapokuwa Mekundu

28 Kuutazama Ulimwengu

30 Kutoka kwa Wasomaji Wetu

31 Je, Viumbe wa Dunia Wanaweza Kuhifadhiwa?

32 Karibuni Kwenye Mkusanyiko wa Wilaya wa “Walimu wa Neno la Mungu!

Nondo Maridadi 16

Ijapokuwa watu wengi humwona kuwa mdudu mharibifu, nondo ni mdudu maridadi asiyedhuru na mwenye kustaajabisha.

Je, Dini Zote Ni Barabara Mbalimbali Zinazoongoza kwa Mungu? 26

Mamilioni ya watu watajibu ndiyo. Biblia inasema nini?