Kiswahili
AMKENI! Je, Dunia Yetu Itaokoka?—Sababu za Kuwa na Tumaini
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/g/202311/SW/pt/g_SW_202311_lg.jpg
g23 Na. 1

AMKENI! Na. 1 2023 | Je, Dunia Yetu Itaokoka?—Sababu za Kuwa na Tumaini

Huhitaji kuwa mwanasayansi ili kujua kwamba dunia yetu inazidi kuharibiwa. Maji safi, bahari, misitu, na hata hewa tunayovuta imechafuliwa sana. Je, dunia yetu itaokoka? Jifunze sababu za kuwa na tumaini.

 

JE, DUNIA YETU ITAOKOKA?

Maji Safi

Ni mifumo gani ya asili inayohakikisha kwamba kuna maji ya kutosha?

JE, DUNIA YETU ITAOKOKA?

Bahari

Je, uharibifu uliofanywa na wanadamu katika bahari utaweza kurekebishwa?

JE, DUNIA YETU ITAOKOKA?

Misitu

Hivi karibuni wataalamu wa mazingira wamegundua nini kuhusu misitu iliyokatwa miti?

JE, DUNIA YETU ITAOKOKA?

Hewa

Uchafuzi wa hewa unaweza kusababisha vifo kwa viumbe duniani. Ni mifumo gani ya asili inayosafisha hewa tunayovuta ambayo Mungu aliiumba?

Mungu Anaahidi Kwamba Dunia Yetu Itaokoka

Tuna msingi gani wa kuamini kwamba dunia itaokoka na kudumu?

Katika Gazeti Hili la Amkeni!

Soma makala zinazoeleza kinachoipata dunia yetu na kwa nini tunaweza kuwa na tumaini.