DAFTARI LA MKUTANO WA HUDUMA NA MAISHA

Uwe Mshikamanifu Mtu wa Ukoo Anapotengwa na Ushirika

Kiswahili
Uwe Mshikamanifu Mtu wa Ukoo Anapotengwa na Ushirika
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/202017329/univ/art/202017329_univ_sqr_xl.jpg

MAISHA YA MKRISTO

Uwe Mshikamanifu Mtu wa Ukoo Anapotengwa na Ushirika

Uwe Mshikamanifu Mtu wa Ukoo Anapotengwa na Ushirika

Tazameni video Uwe Mshikamanifu kwa Hukumu za Yehova—Waepuke Wakosaji Wasiotubu. Kisha mjibu maswali yafuatayo:

  • Ni hali gani iliyojaribu ushikamanifu wa wazazi wa Sonja?

  • Ni nini kilichowasaidia kudumisha ushikamanifu?

  • Ushikamanifu wao kwa Yehova ulimnufaishaje Sonja?