Kiswahili
Ratiba ya Mkutano wa Huduma na Maisha ya Novemba 3-9, 2025
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/202025401/univ/art/202025401_univ_sqr_xl.jpg
mwb25 Novemba kur. 2-3

Novemba 3-9

WIMBO WA SULEMANI 1-2

Novemba 3-9

Wimbo 132 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Simulizi la Upendo Usioshindwa

(Dak. 10)

[Onyesha VIDEO Utangulizi wa Kitabu cha Wimbo wa Sulemani.]

Sulemani alimsifu msichana Mshulami na akamwahidi kumpa vitu vyenye thamani (Wim 1:​9-11)

Upendo usioshindwa kamwe wa msichana Mshulami kumwelekea kijana mchungaji ulimsaidia kubaki akiwa mshikamanifu (Wim 2:​16, 17; w15 1/15 30 ¶9-10)

DOKEZO: Unaposoma kitabu cha Wimbo wa Sulemani, tumia sehemu ya “Yaliyomo” katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ili kuelewa ni nani anayezungumza.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Wim 2:7—Kwa nini msichana Mshulami ni mfano mzuri kwa Wakristo waseja? (w15 1/15 31 ¶11)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) NYUMBA KWA NYUMBA. Shiriki kweli kutoka kwenye nyongeza A ya broshua Wapende Watu. (lmd somo la 1 jambo kuu la 3)

5. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) NYUMBA KWA NYUMBA. Shiriki kweli kutoka kwenye nyongeza A ya broshua Wapende Watu. (lmd somo la 9 jambo kuu la 3)

6. Kufanya Wanafunzi

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 46

7. “Mtu Mkarimu Atabarikiwa”

(Dak. 15) Mazungumzo yaongozwe na mzee.

Tutabarikiwa ikiwa tutatumia muda na mali zetu kwa ukarimu. Bila shaka, mtu anayepokea zawadi yetu anaiona kuwa baraka. Hata hivyo, mtoaji mkarimu anabarikiwa pia. (Met 22:9) Anapata shangwe inayotokana na kumwiga Muumba na pia kupata kibali cha Yehova.—Met 19:17; Yak 1:17.

Onyesha VIDEO Ukarimu Huleta Shangwe. Kisha waulize wasikilizaji:

  • Ndugu na dada katika video hiyo walipataje shangwe inayotokana na ukarimu unaoonyeshwa na undugu wa ulimwenguni pote?

  • Wao pia wamepataje shangwe inayotokana na kuwa wakarimu kwa wengine?

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) lfb somo la 32-33

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 137 na Sala