Kiswahili
Ratiba ya Mkutano wa Huduma na Maisha ya Novemba 24-30, 2025
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/202025404/univ/art/202025404_univ_sqr_xl.jpg
mwb25 Novemba uku. 8

Novemba 24-30

ISAYA 1-2

Novemba 24-30

Wimbo 44 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Tumaini kwa Wale “Waliolemewa na Dhambi”

(Dak. 10)

[Onyesha VIDEO Utangulizi wa Kitabu cha Isaya.]

Watu wa Mungu walikuwa ‘wamelemewa na dhambi’ (Isa 1:​4-6; ip-1 14 ¶8)

Yehova alikuwa tayari kuwasamehe kabisa ikiwa wangetubu (Isa 1:18; ip-1 28-29 ¶15-17)

JAMBO LA KUTAFAKARI: Mwaliko wa Yehova kwa taifa la Israeli unawezaje kutupatia amani ya akili ikiwa tunahisi kwamba dhambi zetu haziwezi kusamehewa?

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Isa 2:2—Maneno “mlima wa nyumba ya Yehova” yanawakilisha nini? (ip-1 39 ¶9)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) NYUMBA KWA NYUMBA. Shiriki kweli kutoka kwenye nyongeza A ya broshua Wapende Watu. (lmd somo la 3 jambo kuu la 3)

5. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) NYUMBA KWA NYUMBA. Mwenye nyumba anapendezwa na habari nyingine tofauti na ile uliyopanga kuzungumzia. (lmd somo la 7 jambo kuu la 4)

6. Hotuba

(Dak. 5) ijwbq makala ya 96—Kichwa: Dhambi ni Nini? (th somo la 20)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 38

7. Uwe Rafiki ya Yehova—Yehova Husamehe

(Dak. 15) Mazungumzo.

Onyesha VIDEO. Ikiwezekana, waalike jukwaani watoto uliowachagua mapema na uwaulize maswali kuhusu video na masomo waliyojifunza.

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 89 na Sala