Desemba 29, 2025–Januari 4, 2026
ISAYA 14-16
Wimbo 63 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)
1. Maadui wa Watu wa Mungu Hawatakosa Kuadhibiwa
(Dak. 10)
Taifa la Babiloni lililokuwa na kiburi lingeharibiwa kabisa (Isa 14:13-15, 22, 23; ip-1 180 ¶16; 184 ¶24)
Yehova angemponda Mwashuru katika nchi yake (Isa 14:24, 25; ip-1 189 ¶1)
Yehova angeufedhehesha utukufu wa Moabu (Isa 16:13, 14; ip-1 194 ¶12)
Left: C. Sappa/DeAgostini via Getty Images; right: Image © Homo Cosmicos/Shutterstock
2. Hazina za Kiroho
(Dak. 10)
Isa 14:1, 2—Watu wa Yehova wangewezaje kuwateka “wale waliokuwa wamewateka”? (w06 12/1 10 ¶11)
Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?
3. Usomaji wa Biblia
(Dak. 4) Isa 16:1-14 (th somo la 10)
4. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 3) NYUMBA KWA NYUMBA. (lmd somo la 2 jambo kuu la 5)
5. Kufuatia Upendezi
(Dak. 4) MAHUBIRI YA UMMA. (lmd somo la 9 jambo kuu la 4)
6. Hotuba
(Dak. 5) ijwbq makala ya 108—Kichwa: Unabii Ni Nini? (th somo la 14)
Wimbo 2
7. Mahitaji ya Kutaniko
(Dak. 15)
8. Funzo la Biblia la Kutaniko
(Dak. 30) lfb somo la 48-49

