DAFTARI LA MKUTANO WA HUDUMA NA MAISHA

Je, Unajulikana kwa Sifa Kama za Ayubu?

Kiswahili
Je, Unajulikana kwa Sifa Kama za Ayubu?
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/202023419/univ/art/202023419_univ_sqr_xl.jpg
mwb23 Novemba uku. 12

Ayubu akiwaonyesha upendo mshikamanifu wenye uhitaji

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Je, Unajulikana kwa Sifa Kama za Ayubu?

Je, Unajulikana kwa Sifa Kama za Ayubu?

Ayubu alijipatia heshima ya majirani wake (Ayu 29:​7-11)

Ayubu alijulikana kwa kuwaonyesha upendo mshikamanifu wale waliokuwa na uhitaji (Ayu 29:​12, 13; w02 5/15 22 ¶19; ona picha kwenye jalada)

Ayubu aliwatendea wengine kwa uadilifu na haki (Ayu 29:14; it-1 655 ¶10)

Jina zuri ni lenye thamani. (w09 2/1 15 ¶3-4) Tunajipatia sifa nzuri kwa kudumisha mwenendo mzuri kadiri muda unavyopita.

JIULIZE, ‘Ninajulikana kuwa na sifa zipi?’