Kiswahili
Ratiba ya Novemba 20-​26, 2017 ya Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo
/assets/ct/79e1b14fff/images/syn_placeholder_sqr.png

Novemba 20-26

MIKA 1-7

Novemba 20-26
  • Wimbo 31 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Zb 83:18—Fundisha Kweli. Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Kut 3:14—Fundisha Kweli. Weka msingi wa ziara inayofuata.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) bh 123-124 ¶20-21.

MAISHA YA MKRISTO