DAFTARI LA MKUTANO WA HUDUMA NA MAISHA

Ratiba ya Mkutano wa Huduma na Maisha ya Mei 11-17, 2026

Kiswahili
Ratiba ya Mkutano wa Huduma na Maisha ya Mei 11-17, 2026
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/202026162/univ/art/202026162_univ_sqr_xl.jpg
mwb26 Mei uku. 4

Mei 11-17

ISAYA 60-61

Mei 11-17

Wimbo 146 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. “Inuka, Ee Mwanamke, Angaza Nuru”

(Dak. 10)

Mwanamke anayetajwa katika Isaya 60:1 anawakilisha Yerusalemu la kale (Isa 60:​1, 2; w24.07 30 ¶1-2)

Unabii wa kurudishwa unaotajwa katika Isaya sura ya 60 ulitimizwa kwa sehemu tu katika Yerusalemu (w24.07 30 ¶3-4)

Unabii huo unatimizwa kwa njia kubwa zaidi inapohusu “Yerusalemu la juu” (Gal 4:26; w24.07 30 ¶5–31 ¶2)

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

3. Usomaji wa Biblia

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mfundishe mtu huyo jina la Mungu. (lmd somo la 4 jambo kuu la 3)

5. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Katika ziara iliyotangulia, mtu huyo alikuambia kwamba alifiwa na mpendwa wake hivi karibuni. (lmd somo la 4 jambo kuu la 4)

6. Kufanya Wanafunzi

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 156

7. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 15)

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) lfb somo la 84-85

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 119 na Sala