Juni 23-29
METHALI 19
Wimbo 154 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)
1. Uwe Rafiki wa Kweli kwa Ndugu na Dada Zako
(Dak. 10)
Usikazie hali yao ya kutokamilika (Met 19:11; w23.11 12-13 ¶16-17)
Wategemeze wanapokuwa na uhitaji (Met 19:17; w23.07 9-10 ¶10-11)
Waonyeshe upendo mshikamanifu (Met 19:22; w21.11 9 ¶6-7)
MFANO: Kumbukumbu ni kama picha. Kumbuka mambo mazuri tu kuwahusu ndugu na dada zako.
2. Hazina za Kiroho
(Dak. 10)
Met 19:21—Tunapaswa kuzingatia nini sikuzote tunapotoa shauri? (it-1 515)
Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?
3. Usomaji wa Biblia
(Dak. 4) Met 19:1-20 (th somo la 2)
4. Kuanzisha mazungumzo
(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Bila kuzungumzia kweli hususa ya Biblia, tafuta njia ya kawaida kumjulisha mtu unayezungumza naye kwamba wewe ni Shahidi wa Yehova. (lmd somo la 2 jambo kuu la 4)
5. Kufuatia Upendezi
(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Katika mazungumzo yenu yaliyopita, mtu huyo alikueleza kwamba anapenda uumbaji. (lmd somo la 9 jambo kuu la 4)
6. Hotuba
(Dak. 5) lmd nyongeza A jambo kuu la 10—Kichwa: Mungu ana Jina. (th somo la 20)
Wimbo 40
7. Mahitaji ya Kutaniko
(Dak. 15)
8. Funzo la Biblia la Kutaniko
(Dak. 30) bt sura ya 28 ¶1-7