Juni 2-8
METHALI 16
Wimbo 36 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)
1. Maswali Matatu Yanayoongoza Kwenye Maamuzi Mazuri
(Dak. 10)
Je, ninatumaini mwongozo wa Yehova? (Met 16:3, 20; w14 1/15 19-20 ¶11-12)
Je, uamuzi wangu utamfurahisha Yehova? (Met 16:7)
Je, mimi huathiriwa sana na mambo ambayo wengine husema au kufanya? (Met 16:25; w13 9/15 17 ¶1-3)
JIULIZE, ‘Maswali haya yanaweza kunisaidiaje kufanya maamuzi mazuri inapohusu mavazi na kujipamba?’
2. Hazina za Kiroho
(Dak. 10)
Met 16:22—Ni katika njia gani wajinga “hutiwa nidhamu kwa ujinga wao wenyewe”? (it-1 629)
Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?
3. Usomaji wa Biblia
(Dak. 4) Met 16:1-20 (th somo la 12)
4. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mwonyeshe mtu jinsi anavyoweza kunufaika kwa kutumia jw.org. (lmd somo la 2 jambo kuu la 5)
5. Kufuatia Upendezi
(Dak. 4) NYUMBA KWA NYUMBA. Mwalike mtu ambaye alikataa kujifunza Biblia zamani aanze kujifunza. (lmd somo la 9 jambo kuu la 5)
6. Hotuba
(Dak. 5) ijwbv makala ya 40—Kichwa: Ni Nini Maana ya Methali 16:3? (th somo la 8)
Wimbo 32
7. Mahitaji ya Kutaniko
(Dak. 15)
8. Funzo la Biblia la Kutaniko
(Dak. 30) bt sura ya 27 ¶10-18