Kiswahili
Ratiba ya Mei 22-​28, 2017 ya Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo
/assets/ct/28ada02fb0/images/syn_placeholder_sqr.png

Mei 22-28

YEREMIA 44-48

Mei 22-28
  • Wimbo 70 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • Usiendelee ‘Kujitafutia Makuu’”: (Dak. 10)

    • Yer 45:2, 3—Mawazo yasiyofaa ya Baruku yalifanya ahuzunike (jr 104-105 ¶4-6)

    • Yer 45:4, 5a—Yehova alimrekebisha Baruku kwa fadhili (jr 103 ¶2)

    • Yer 45:5b—Baruku aliokoa uhai wake kwa kukazia fikira mambo muhimu zaidi (w16.07 8 ¶6)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Yer 48:13—Kwa nini Wamoabu wangeona “aibu kwa sababu ya Kemoshi”? (it-1 430)

    • Yer 48:42—Kwa nini imani yetu inaimarishwa na tangazo la Yehova la hukumu dhidi ya Moabu? (it-2 422 ¶2)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo umepata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Yer 47:1-7

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak.2) hf—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak.4) hf—Weka msingi wa ziara inayofuata.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak.6) lv 199 ¶9-10 —Mwonyeshe kifupi mwanafunzi jinsi ya kufanya utafiti kuhusu jaribu fulani hususa analokabili.

MAISHA YA MKRISTO