Kiswahili
Ratiba ya Mkutano wa Huduma na Maisha ya Aprili 6-12, 2026
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/202026086/univ/art/202026086_univ_sqr_xl.jpg
mwb26 Machi uku. 10

Aprili 6-12

ISAYA 50-51

Aprili 6-12

Wimbo 88 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Msikilize Yule Ambaye Amefundishwa na Mungu

(Dak. 10)

Yesu alifundishwa na Yehova kabla ya kuja duniani (Isa 50:4; kr 182 ¶5)

Yesu alijifunza kwa bidii (Isa 50:5; cf 133 ¶13)

Wale wanaomwogopa Yehova wanasikiliza sauti ya Yesu, Mtumishi wake (Isa 50:10; Yoh 10:27)

JAMBO LA KUTAFAKARI: Ninawezaje kuiga bidii ya Yesu ya kuwa tayari kuzoezwa na Yehova?—1Pe 2:21.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Isa 51:1—Mstari huu unamaanisha nini? (it “Machimbo” ¶2)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mweleze mfanyakazi mwenzako kuhusu Ukumbusho. (lmd somo la 2 jambo kuu la 4)

5. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) NYUMBA KWA NYUMBA. Mwenye nyumba alihudhuria Ukumbusho. Mwalike ahudhurie mkutano unaofuata. (lmd somo la 9 jambo kuu la 4)

6. Kufafanua Imani Yako

(Dak. 5) Onyesho. ijwbq makala ya 140 ¶4—Kichwa: Je, Tunahitaji Tu Kumwamini Yesu ili Tuokolewe? (lmd somo la 11 jambo kuu la 5)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 99

7. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 15)

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 13 na Sala