HAZINA ZA NENO LA MUNGU | YEREMIA 1-4
“Mimi Niko Pamoja Nawe ili Nikukomboe”
Huenda Yeremia alikuwa na umri wa karibu miaka 25 Yehova alipomweka rasmi kuwa nabii. Yeremia alihisi hastahili kupewa jukumu hilo, lakini Yehova alimhakikishia kwamba ataendelea kumtegemeza.
-
647
Yeremia awekwa rasmi kuwa nabii
-
607
Yerusalemu laharibiwa
-
580
Uandikaji wa kitabu chake unakamilishwa
Tarehe zote ni za K.W.K.

