DAFTARI LA MKUTANO WA HUDUMA NA MAISHA

Ujitoaji Kimungu Una Faida Kuliko Utajiri

Kiswahili
Ujitoaji Kimungu Una Faida Kuliko Utajiri
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/202019253/univ/wpub/202019253_univ_sqr_xl.jpg

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | 1 TIMOTHEO 4-6

Ujitoaji Kimungu Una Faida Kuliko Utajiri

Ujitoaji Kimungu Una Faida Kuliko Utajiri

6:6-10

Maandiko yafuatayo yanaonyeshaje kwamba tutapata furaha zaidi tukifuatia ujitoaji-kimungu badala ya utajiri?

Kwa nini haiwezekani kufuatia ujitoaji-kimungu na utajiri? (Mt 6:24)