DAFTARI LA MKUTANO WA HUDUMA NA MAISHA

Wapimie Wengine kwa Ukarimu

Kiswahili
Wapimie Wengine kwa Ukarimu
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/202018243/univ/art/202018243_univ_sqr_xl.jpg

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | LUKA 6-7

Wapimie Wengine kwa Ukarimu

Wapimie Wengine kwa Ukarimu

6:38

Mtu mkarimu hufurahia kutumia wakati, nguvu, na mali zake ili kuwasaidia na kuwatia moyo wengine.

  • Kitenzi cha Kigiriki kilichotafsiriwa “muwe na mazoea ya kuwapa watu” kinaonyesha tendo linaloendelea

  • Tunapokuwa na mazoea ya kuwapa watu, wengine watatumwagia “kwenye mfuko wa nguo [zetu] kipimo kizuri, kilichoshindiliwa, kilichotikiswa, na kufurika.” Huenda maneno hayo yakarejelea zoea la wafanyabiashara fulani la kujaza bidhaa zilizonunuliwa kwenye mkunjo wa nguo ya nje