Januari 12-18
ISAYA 21-23
Wimbo 120 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)
1. Mambo Tunayojifunza Kutokana na Kile Kilichompata Shebna
(Dak. 10)
Endelea kuwa mnyenyekevu unapopata mapendeleo (Isa 22:15-19; w18.03 25 ¶7-9)
Ikiwa utapoteza pendeleo lako, azimia kuendelea kumpa Yehova kilicho bora (Isa 36:3; w18.03 25 ¶10)
Ikiwa wewe ni mzazi au ni mzee wa kutaniko na unahitaji kutoa shauri la Kimaandiko, iga jinsi Yehova alivyoshughulika na Shebna (w18.03 26 ¶11)
Nidhamu yenye upendo inaweza kuwa njia ya Mungu ya kutufinyanga
2. Hazina za Kiroho
(Dak. 10)
-
Isa 21:1—Kwa nini Babiloni liliitwa “nyika ya bahari”? (w06 12/1 11 ¶2)
-
Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?
3. Usomaji wa Biblia
(Dak. 4) Isa 23:1-14 (th somo la 5)
4. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 1) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Bila kuzungumzia kweli hususa ya Biblia, tafuta njia ya kawaida ya kumjulisha mtu unayezungumza naye kwamba wewe ni Shahidi wa Yehova. (lmd somo la 2 jambo kuu la 4)
5. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 3) NYUMBA KWA NYUMBA. Shiriki kweli kutoka kwenye nyongeza A ya broshua Wapende Watu. (lmd somo la 1 jambo kuu la 3)
6. Kufuatia Upendezi
(Dak. 2) NYUMBA KWA NYUMBA. Mwenye nyumba ana shughuli nyingi. (lmd somo la 7 jambo kuu la 4)
7. Hotuba
(Dak. 5) ijwyp makala ya 71—Kichwa: Ninaweza Kuchagua Jinsi Gani Mtu Mzuri wa Kumwiga? (th somo la 9)
Kuwa na mtu mzuri wa kumwiga kunaweza kuwa njia rahisi ya kufikia malengo yako
Wimbo 124
8. Mahitaji ya Kutaniko
(Dak. 15)
9. Funzo la Biblia la Kutaniko
(Dak. 30) lfb somo la 52-53

