DAFTARI LA MKUTANO WA HUDUMA NA MAISHA

Kukosa Kutii Sheria ya Mungu Huleta Matatizo

Kiswahili
Kukosa Kutii Sheria ya Mungu Huleta Matatizo
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/202022004/univ/art/202022004_univ_sqr_xl.jpg
mwb22 Januari uku. 3

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Kukosa Kutii Sheria ya Mungu Huleta Matatizo

Kukosa Kutii Sheria ya Mungu Huleta Matatizo

Mika aliiba pesa za mama yake (Amu 17:1, 2)

Mika aliabudu sanamu na hakuheshimu mpango wa Yehova wa hema la ibada na ukuhani (Amu 17:4, 5, 12; it-2 390-391)

Hatimaye Mika aliachwa bila chochote (Amu 18:24-26; it-2 391 ¶2)

JIULIZE, ‘Nimenufaikaje kwa kumtii Yehova?’