Kiswahili
Ratiba ya Januari 11-17, 2016 ya Huduma na Maisha ya Kikristo
/assets/ct/28ada02fb0/images/syn_placeholder_sqr.png
Januari 11-17
  • Wimbo 35 na Sala

  • Utangulizi (Isizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Toa magazeti kwa kuzungumzia kichwa kwenye jalada la gazeti la Mnara wa Mlinzi la karibuni. Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Panga kuwe na onyesho la ziara ya kumrudia mtu ambaye alifurahia mazungumzo yetu tulipozungumzia jalada la gazeti la Mnara wa Mlinzi la karibuni. Weka msingi wa ziara inayofuata.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) Panga kuwe na onyesho la funzo la Biblia. (bh 9-10 ¶6-7)

MAISHA YA MKRISTO