Kiswahili
Ratiba ya Desemba 11-​17, 2017 ya Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo
/assets/ct/79e1b14fff/images/syn_placeholder_sqr.png

Desemba 11-​17

ZEKARIA 1-8

Desemba 11-​17
  • Wimbo 26 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) g17.6 jalada—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) g17.6—Gazeti liliachwa katika ziara ya kwanza. Onyesha jinsi ya kufanya ziara ya kurudia na uweke msingi wa ziara inayofuata.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) fg somo la 5  ¶1-2.

MAISHA YA MKRISTO